Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,264
- 55,860
Bila vyombo unaweza kuona maisha hayaendiSafi sana mkuu ,lindo na vyombo linaenda bien kabisa
Bila vyombo unaweza kuona maisha hayaendiSafi sana mkuu ,lindo na vyombo linaenda bien kabisa
Ohhh ala kumbe nimeharibu?
Hahahaha, kabisa Mkuu ,kumbe life simpo tuBila vyombo unaweza kuona maisha hayaendi
Niko powa,eqn y yuko chaliii anakoroma...hawezi kuwa kwenye lindoZa kwako? Equation Y ushampata?
Niko powa,eqn y yuko chaliii anakoroma...hawezi kuwa kwenye lindo
Maisha hayaitaji complication,piga vyombo,kesha kwenye lindo ha ha ha...Hahahaha, kabisa Mkuu ,kumbe life simpo tu
Atazipata...karibu upate mzinga(kinywaji) wa kusindikizia lindoSalamu zake nyingi, akiamka.
Swadakta,unaamka saa NNE,unaingia ktk Monday meeting, mipango inakaa sawa unarudi ,kupiga vyomboMaisha hayaitaji complication,piga vyombo,kesha kwenye lindo ha ha ha...

Tupo mkuuWadau mpo humu..!!?
Atazipata...karibu upate mzinga(kinywaji) wa kusindikizia lindo
Swadakta,unaamka saa NNE,unaingia ktk Monday meeting, mipango inakaa sawa unarudi ,kupiga vyombo![]()
![]()
![]()
Hahahaha, Mjomba gani tena?Mjomba amekuharibu sana Kaka
ha ha ha ha ha ha....hapo ndipo umuhimu wa kujiajiri unapoonekaSwadakta,unaamka saa NNE,unaingia ktk Monday meeting, mipango inakaa sawa unarudi ,kupiga vyombo![]()
![]()
![]()
Nyagi sio mchezoGonga vyombo mkuu,nina mizinga 3 hapa nimeletewa zawadi ndio zinanipa stimu kuendelea kuwa kwenye lindo
Salamu zake nyingi, akiamka.
Hahahaha, Mjomba gani tena?
Naona uko mwenyewe humu .....
ha ha ha ha ha pamojaAsante, Maji yatanitosha, endelea wewe kufaidi hiyo mizinga