The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Nani huyo akionwa????
Uko wapi nikupitie? Oh! Basidei ya buddy wako imeendaje?
Nani huyo akionwa????
Mnaongea na mimi au simu?Nipo komredi, mimi huwa niko hapa kila siku sema saivi sionekani sana sababu nimetolewa getini na kupelekwa chumba cha CCTV.
Hahahaha kwa ninavyomjua Thad hilo ulilosema litakua kinyume chake, (hashindwi kusema namzibia riziki)

Pole sana mkuu ndio maishaMungu aliumba dunia toka enzi na enzi.. yashanipiga sasa inabidi nelewe...siwezi kung'ang'ania huenda sii fungu laanguuu....
Ukimwooona..
Uko wapi nikupitie? Oh! Basidei ya buddy wako imeendaje?

Ndio, nioneshe makovu yanayokufanya usilala mpaka muda huuNaona unataka kuwa Tomaso
Eeehhh mbona usiseme napetiwa Mimi?![]()
Hahaha,,,nipo bhana,,nmerudi nowSalama kabisa....za kupotea?
Mpaka nimesahau sura.
Kwema lakini?
Hahaha,,,nipo bhana,,nmerudi now
Huku kwema kabsa,,,vp huko??
Haujamiss mikahawani
Nmekuja tayaliNjoo tuongee
Teh teh....wakati mwingine nakionea wivu kitanda kwa jinsi anavyopenda kulala.Basi mlikuwa mnapetiana, vipi mmemaliliza?
Za kutukimbia?Nmekuja tayali
Bhasi huko mvua zmechelewa ,,,huku tayali zmeanza,,watu tunalima sio mchezoTupo tunachimba barabara kabla mvua hazijaanza
Mbaya,,,nliwamiss sana,,,angalau hv sasa nipo tena,,,aisee chimbo sio kuzuriZa kutukimbia?
Acha tupokezane tu.Bhasi huko mvua zmechelewa ,,,huku tayali zmeanza,,watu tunalima sio mchezo
Mara moja moja sio mbayaMbaya,,,nliwamiss sana,,,angalau hv sasa nipo tena,,,aisee chimbo sio kuzuri
Kweli aisee,,,Astelia wapi?Mara moja moja sio mbaya
Sijamwona kitambo kweli....nahisi majukumu yamemzidiaKweli aisee,,,Astelia wapi?
It's was good...
Watoto tumerudi nyumbani wakubwa wanaendelea.![]()
Thank youBriliant! Good girl
Owk,,,kikubwa huko aliko awe mzima na anapambana na majukumu ya kila sikuSijamwona kitambo kweli....nahisi majukumu yamemzidia