The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,355
- 103,661
11:58 PM
London UK.
London UK.
Nije nikupe joto kipindi hiki cha BaridiKwa malkia.
Watoto washalala, kazi ni kwako
Nije nikupe joto kipindi hiki cha Baridi
Nafasi yako bado ipo,anytime u are welcome.Nije nikupe joto kipindi hiki cha Baridi
Mimi nimesema nikampe kampani kipindi cha baridi....Unasema nini wewe ?
Asante sana....Nafasi yako bado ipo,anytime u are welcome.
Mimi nimesema nikampe kampani kipindi cha baridi....
Umemjibu kwa ujasiri sana na kwakujiamini,good girl.Mimi nimesema nikampe kampani kipindi cha baridi....
Halafu ....?!
Anatafuta Jakamoyo....mwacheUmemjibu kwa ujasiri sana na kwakujiamini,good girl.
Wakubwa wanafaidiMimi nimesema nikampe kampani kipindi cha baridi....

Baridi ikipita narudi Kwangu
SawaUtajua mwenyewe......!
Wakubwa wanafaidi![]()
Njoo kwangu wewe uliyelemewa na mizigoNajipa matumaini
Nitafute nisichoke
Moyoni nikiamini kuwa
Mungu ni wetu sote
Ila Mbona kwangu sasambu sasambu
Sipati usiku si mchana
Ama kitabu cha riziki yangu
Tayari kimechanwa
Eeeeh eh Eeeeh
Baba Mama chama na mogela
Yani mimi ndio nategemewa
Nakaza nashinda kombolela
Likipigwa nabutua hewa
[Bridge]
Hata mate kinywani ya uchungu
Nayameza kwa tabu jama
Maisha yangu mazingaombwe
Ya maajabu sana
Oooh mama Oooh (Oooh)
Eeeeh mama eeeh (Oh Oooh)
[Chorus]
Ooooh Shida (Ooooh Shida)
Ooooh Shida (Ooooh)
Ooooh Shida
Shida zitakwisha lini (Mama mama eeh)
Ooooh Shida (Mama mama eeh)
Ooooh Shida (Mama mama aaah)
Ooooh Shida (Ooooh)
Shida zitakwisha lini
Okay.i will see u next time,Anatafuta Jakamoyo....mwache
Kazi njemaOkay.i will see u next time,
Wacha nikomae na box kwanza.
Nitumie laki 2 ya nauli nijeNjoo kwangu wewe uliyelemewa na mizigo