JamiiForums Usiku wa manane
We Jamaa Leo Upo Heshima Yako Mkuu.

Thad atakuwa na usiku Mwanana sana leo
Nipo komredi, mimi huwa niko hapa kila siku sema saivi sionekani sana sababu nimetolewa getini na kupelekwa chumba cha CCTV.

Hahahaha kwa ninavyomjua Thad hilo ulilosema litakua kinyume chake, (hashindwi kusema namzibia riziki)
 
Back
Top Bottom