Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Asante sana
Owk sawa,,umepata mama
Owk sawa,,umepata mama
Hii nzuri kuskia.Pamoja sana bro,,,acha tupambane aisee
Wewe ndio unastahili kuadhibiwa kwa wizi. Na usipoacha hiyo tabia ipo siku utapaka poda ya kuulia panya halafu ukione cha ntema kuniHaa! Ya kufanyia nn?
Jichagulie adhabu
Unajua me mpaka sahv nashindwa kuelewaWewe ndio unastahili kuadhibiwa kwa wizi. Na usipoacha hiyo tabia ipo siku utapaka poda ya kuulia panya halafu ukione cha ntema kuni
Tumia hiyo poda ya sisimizi, hakikisha unajipaka mwili mzima, na hukikisha mwili wako unakua huru pasi na kufunikwa nguo yeyoteMO11 ndio umenifanyia nini? Yaani mbu wote wa nyumbani kwako umewaswaga na kuwaleta kwangu wakati unajua sina neti wala feni![]()

Kuelewa nini?Unajua me mpaka sahv nashindwa kuelewa
Mmmh! Hatujawahi kukuona umesaini kitabu cha mahudhurio?Nimegundua m mkeshaj aisee,mana kila mara najikuta memba umu
Bora umekuja kufungua maana wengine hapawalipitia dirishani0000
Gate Limefunguliwa Rasmi
Watakua wanavaa gwanda huku wakiweka sawa ndoa zao ndo waje mkuu, vuta subira.Where are you, ladies.?!
We Jamaa Leo Upo Heshima Yako Mkuu.Tumia hiyo poda ya sisimizi, hakikisha unajipaka mwili mzima, na hukikisha mwili wako unakua huru pasi na kufunikwa nguo yeyote![]()
Hahaha hilo tukio la kujipaka hiyo poda ni adhabu tosha.Usicheke, huyu peterchoka anastahili adhabu kali
Kwanini tusiwaache jamaa waendelee na lindo twende chemba kidogoKuelewa nini?