The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,060
Ndio, nioneshe makovu yanayokufanya usilala mpaka muda huu
Kama kulala rahisi mvona wewe haujalala? Au kwa vile nimesema mie?
Ndio, nioneshe makovu yanayokufanya usilala mpaka muda huu
Mimi namalizia mvinyo wangu ndio nilale, wewe kinachokuweka macho mpaka sasa ni nini?Kama kulala rahisi mvona wewe haujalala? Au kwa vile nimesema mie?
AminaOwk,,,kikubwa huko aliko awe mzima na anapambana na majukumu ya kila siku
Kwa mwandiko huu...nina wasiwasi wanywa juiceMimi namalizia mvinyo wangu ndio nilale, wewe kinachokuweka macho mpaka sasa ni nini?
Laiti ungepata namna ya kukichungulia kichwa changu kwa sasa ungetengua kauli harakaKwa mwandiko huu...nina wasiwasi wanywa juice
Uko vizuri basi....Laiti ungepata namna ya kukichungulia kichwa changu kwa sasa ungetengua kauli haraka
Uko vizuri basi....
Wengine tunaonaga bora prediction text zipeleke ujumbe.
Hapana....usingizi tu ndio kilevi changu.....Hahahaaaa mi mwenyewe kuna wakati nachapia sana tu. Hivi kumbe na wewe ni mwanachama?
Safi sana!Hapana....usingizi tu ndio kilevi changu.....
Tunashukuru, karibu na keshoThe Icebreaker amepita hapa kuwasalimia tu!
Thanks,kwema lakini?Tunashukuru, karibu na kesho
Kwema sana, za wewe?Thanks,kwema lakini?
Shwari tu,Kwema sana, za wewe?
Majukumu ya boss? Wapi Afrika hii hii au huko dunianiShwari tu,
Natimiza majukumu ya bosi now.
Daaah,sasa .....!
Kwa malkia.Majukumu ya boss? Wapi Afrika hii hii au huko duniani