Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ndo kusema mmeshakubaliana huko sirini![]()
![]()
![]()
Yaliyo sirini yaache sirini (amri ya 14).


Ndo kusema mmeshakubaliana huko sirini![]()
![]()
![]()
Yaliyo sirini yaache sirini (amri ya 14).


Jogoo wangu hachinjwi, japo mbishi mwacheni hivyo hivyo, hapa ni karibu mgeni mwebyeji apone. Walete zawadi walizokuja nazo kwanza
Aisee una maisha wewe, yaanu leo nimekuwaza sana. I' m fine dearT, how are you?
Aisee una maisha wewe, yaanu leo nimekuwaza sana. I' m fine dear[/
kwanini unikimbie my dear!
Sio kombolela pekee zinaruka na judo
Huna lolote unachochea moto ili na wewe uponeepo, unadhani sikujui kwa uchu. Kwanza mwache mtoto wa watu ameshajilalia zake

OowSio kombolela pekee zinaruka na judo
Ndo akina nyie muitane ili muongezekeLeo naona tetea wengi kuliko sisi ...
Tumefyeka wana hila tuPole sana,nahisi sababu ya hali ya hewa au hamjafyeka majani ?
Leo naona tetea wengi kuliko sisi ...
Ndo akina nyie muitane ili muongezeke
Sasa ningefanya nini wakati siijui hatma yangu. Nilitamani kula kuku wakati wewe mfukoni una buku tuuliniona sina pesa au!
kwanini unikimbie my dear!
Tumefyeka wana hila tu
kiranja mkuu mzima?Ijumaa kuamkia Jumamosi ni siku ambayo walinzi wanakuwa wengi.
![]()
![]()
![]()
Hakika sijuti kupiga chini mtoko wa leo na kuchagua kuwa hapa. (Hiyo avatar idumu milele)



huu ni uonevu wa kiwango cha juu, umenihukumu kwa hukumu batili, ulikojipeleka ni kwa kijana wangu wa garden, rudi nyumbani mpenzi wanguSasa ningefanya nini wakati siijui hatma yangu. Nilitamani kula kuku wakati wewe mfukoni una buku tu
Napita tu maaana nasinzia