JamiiForums Usiku wa manane
Screenshot_2018-10-27 Twitter.png
 
Wanalindo naomba mnieleweshee huyu kiumbe "tomaso ndio nani?)


Kwa wale wanaskola wa kitabu kinachoondoka kwa jina la Biblia, agano jipya kuna mwanafunzi wa Yesu alikua anaitwa Tomaso, huyu jamaa aliambiqa Yesu kafufuka amewatokea watu akabisha kwamba hadi amuone.

Iko siku akawatokea akasema hadi amguse aweke vidole kwenye makovu ya mwili wa Yesu mikononi ilipopita misumari, kisha ndio akakubali.

Sasa nafikiri wazee wa kupapasapapasa wote wameangukia kwenye kundi la Tomaso huenda ndio ilizaa neno kutomasa..hiyo ni according to The Monk lakini
 
Back
Top Bottom