Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
9999.9999%Una uhakika ?
9999.9999%Una uhakika ?
Ijumaa kuamkia Jumamosi ni siku ambayo walinzi wanakuwa wengi.
9999.9999%
Hapa nilipo zimejaa..inanibidi niruke naoOow
Hao wa judo ndani kwangu hawapo hao,
Itabidi tutaftane tupate experience ya pamoja.
Pita haraka usituambukize usingizi wako


ngoja kwanza........... .nianze kuambukizahuu ni uonevu wa kiwango cha juu, umenihukumu kwa hukumu batili, ulikojipeleka ni kwa kijana wangu wa garden, rudi nyumbani mpenzi wangu
Huna lolote unachochea moto ili na wewe uponeepo, unadhani sikujui kwa uchu. Kwanza mwache mtoto wa watu ameshajilalia zake![]()
Sawa tomasoSio kweli ....
Mpenzi shaka ondoa nakufuata sasa hiviNitumie nauli nirudi tu maana huyu naye pia naona kafulia, ninatamani kula chipsi yeye mfukoni hana kitu
Sawa tomaso
Leo na shangaa kabisa mambo hayawiani sawia kabisa ...
Umeanza lini u Behaviourist ?![]()
![]()
![]()
Hakika sijuti kupiga chini mtoko wa leo na kuchagua kuwa hapa. (Hiyo avatar idumu milele)
Friday ni kawaida humu kuchangamka, tena kama leo ni mwisho wa mwezi.
Wanalindo naomba mnieleweshee huyu kiumbe "tomaso ndio nani?)"Tomaso" ndio nini ? Hapo sijakuelewa ....
Pole Yna2,Hapa nilipo zimejaa..inanibidi niruke nao
Hakuna namna
Wanalindo naomba mnieleweshee huyu kiumbe "tomaso ndio nani?)