capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Just loving the flow of swahili , .but any president or any leader for that reason who doesn't welcome a contrary opinion , doesn't deserve the title Leader, that's a despot and a cartel,
Fresh bro,mambo vp aisee?Bro!
Mambo vipi.?
Pita ndani ukajiandalie, weekend hii hakuna wa kumwagiza mwenzieKahawa na kashata
Fresh bro,mambo vp aisee?
Longtime mzee
Lindo lindoni
Pita ndani ukajiandalie, weekend hii hakuna wa kumwagiza mwenzie




aiseePoda yako nimeibaPita umepaka poda au unga?
Ila naomba, uniandalie na mimi kikombe kimojaaisee
Ndio maana poda yangu ya kuulia sisimizi imeisha, muonePoda yako nimeiba


Nilipotea bro,,,ila now nimerudi aisee,,ntakuwepo sana,,,Yes,
Unajificha sana Bro,
Me nipo mwingi sana.
Vipi hali yako.?
Ila naomba, uniandalie na mimi kikombe kimoja



haina shida,,na kashata?Hapana nipe gah'wa tupuhaina shida,,na kashata?

Owk sawa,,umepata mamaHapana nipe gah'wa tupu![]()
Nilipotea bro,,,ila now nimerudi aisee,,ntakuwepo sana,,,
Jana nmekuchek sema naona haukucheki vzr bro,,,
Inapendeza kama upo fiti bro,,mapambano yanaendelea
Haa! Ya kufanyia nn?Ndio maana poda yangu ya kuulia sisimizi imeisha, muone![]()
Pamoja sana bro,,,acha tupambane aiseeOww
Sijaona Bro,
Ni vizuri kuskia tupo pamoja tena.