Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Afadhali maana imekuwa kimya mpaka nimeogopa. Kwema huko?Nipo................
Afadhali maana imekuwa kimya mpaka nimeogopa. Kwema huko?
Pambana na hali yako [emoji16][emoji16][emoji16]Usiku wa ma8 naamka nakutana na meseji hizi View attachment 909929
Hata miye nilishangaa kidogo ila naona wameanza kujitokeza mmoja mmojaSalama. imekuaje leo....naona wamekususia Lindo
Leo itakua kuna mtu kapulizia ile spray ya usingizi Mzee.Leo mbona hakuna watu hapa? Au ni simu yangu inanidanganya?
Eti kunyolewa ni 10,000/. Kwani nanyolewa hadi ujinga?[emoji57]
Eti Elimu ni ngao[emoji15]kwani tunaenda vita.
Eti kumuona doctor 50k.. [emoji12]kwani yuko uchi?
Eti Donut 8K, kwani nakula hadi shimo yake?[emoji16]
Mbona hii itika yako maneno yanakata kata namna hiyo?Nipo................
Leo itakua kuna mtu kapulizia ile spray ya usingizi Mzee.
Kabisaa si bure. Kwema kamanda?Leo itakua kuna mtu kapulizia ile spray ya usingizi Mzee.
Leo itakua kuna mtu kapulizia ile spray ya usingizi Mzee.
Ahsante kwa kunipatia namba ya Agness mawowowo, ubarikiwe sana mkuu.Usiku wa ma8 naamka nakutana na meseji hizi View attachment 909929
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti kunyolewa ni 10,000/. Kwani nanyolewa hadi ujinga?[emoji57]
Eti Elimu ni ngao[emoji15]kwani tunaenda vita.
Eti kumuona doctor 50k.. [emoji12]kwani yuko uchi?
Eti Donut 8K, kwani nakula hadi shimo yake?[emoji16]
Tuwacliana ntext sasahv 0655505852Ahsante kwa kunipatia namba ya Agness mawowowo, ubarikiwe sana mkuu.