Tutakufungulia mbwa ujue?
Labda viumbe vingine ila sio mbwa ....
Tutakufungulia mbwa ujue?
Akikujibu nitag
Hivi Mr Miller umemficha wapi mbona siku hizi simuoni tena?![]()
Wewe hupendi?
Labda viumbe vingine ila sio mbwa ....
Ilipotimia tar 24/7/2017 nilistop vitu vi3 pombe, marijuana na kupenda
Sawa nakuletea bui bui
Good for you!
Sidhani ..
Basi tena....
Safi sana .....
Unahisi umeshinda?
Tuendelee...hali ya hewa ulipo inasemaje?
Hali ya hewa huku haieleweki kabisa yaani haielezeki kabisa,sijui ya huko ulipo ?
Huku milimani umetulia.....
Kaporo! Aisee siku nyingi walahiUsiku wa manane Walahi!
Nimemkumbuka ISIS walahi!
Ngoja nijiongeze kidogo walahi!
Sitokaa na akili za kitoto wala chromosome retard walahi!
Hii ni kweli tupu walahi!
ISIS njoo na huku walahi!
Kule siasani tuwaachie wenye midomo walahi!
Thad huu uzi uliwekwa kwa ajili yako walahi!
Nina-type huku nafukuza mbu walahi!
I am in love with WALAHI walahi!