Nani huyo kawafunga kimoja tu, si angewafunga vitatuKimoja tu cha uchungu

I wish him all the best!He is very much SINGLE and ready to Mingle
Nani huyo kawafunga kimoja tu, si angewafunga vitatu![]()
Huwa siwataki walio single wenzangu,mimi huwa nawapenda wenye wapenzi wao tena wapendanao kwa dhati ili nionyeshe umwamba wangu .....
Wapenzi walendao kazi kwaoKwa yeyote akatayeguswa nao!
Mwaribifu wewe....sasa hapo unaonyesha umwamba gani jamani?
I wish him all the best!
Si ndio uharibifu wenyewe huo .....
Penye ubia penyeza rupia.... Tafakari uchukue hatua
Ndo maana kila siku anaishia kulia humu, ajifunze kuunda vyake na si kuundiwa na wenzieUmemsikia lakini ...anatafuta wadada walikwisha kwapuliwa ........
Ila nini?Hilo nalijua tangu na tangu,ila ..............

“Hakuna haja ya kukata tamaa na kujiona kuwa huna thamani katika mapenzi yako kwakuwa tu kila mahusiano uanzishayo hayawi na mwisho
mzuri au ulioutarajia, maisha ya mapenzi ni maisha dhalimu muda mwingine. Unaweza
kukutana na mtu sahihi katika muda usio sahihi,na unaweza kukutana na aliyesahihi katika muda usio sahihi. Unachotakiwa kufanya si kukata tamaa bali kuwa makini na muda na unaokutana nao. Kila mtu anapacha wake hapa duniani,inapotokea umekutana na pacha wa mtu, ndipo shida na matatizo huanzia hapo. ATAKUJA MTU KATIKA MAISHA YAKO ATAKAYEKUFANYA UGUNDUE KWANINI HUKUDUMU NA ULIOACHANA NAO”

Wewe hupendi?Wapenzi walendao kazi kwao