Mbona unajizungushazungusha? Mtaje yaisheHumu niko mimi na wewe sio ?
Mbona unajizungushazungusha? Mtaje yaishe
Kumbe ndo zake eeeh! Basi hanisumbui tena
Acha tu,sababu mimi mwenyewe leo nipo mpaka mwisho nitamuona ....!
Acha nimuulize....@Zurri are you single or not?
Akijibu 'not' nahama kijiwe hiki[emoji23]Acha nimuulize....@Zurri are you single or not?
Okay.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena niko single hasa/haswa ....
“Hakuna haja ya kukata tamaa na kujiona kuwa huna thamani katika mapenzi yako kwakuwa tu kila mahusiano uanzishayo hayawi na mwisho
mzuri au ulioutarajia, maisha ya mapenzi ni maisha dhalimu muda mwingine. Unaweza
kukutana na mtu sahihi katika muda usio sahihi,na unaweza kukutana na aliyesahihi katika muda usio sahihi. Unachotakiwa kufanya si kukata tamaa bali kuwa makini na muda na unaokutana nao. Kila mtu anapacha wake hapa duniani,inapotokea umekutana na pacha wa mtu, ndipo shida na matatizo huanzia hapo. ATAKUJA MTU KATIKA MAISHA YAKO ATAKAYEKUFANYA UGUNDUE KWANINI HUKUDUMU NA ULIOACHANA NAO”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena niko single hasa/haswa ....
Kimoja tu cha uchunguWamefungwa ngapi?[emoji848]
Akijibu 'not' nahama kijiwe hiki[emoji23]
Akijibu 'not' nahama kijiwe hiki[emoji23]
Acha waje single ladies basi....
Kwa yeyote akatayeguswa nao!Huu ujumbe unaenda kwa nani?