Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Kwahiyo umetufungulia milango halafu wewe ukaenda kulala?[emoji848]nafungua milango
Kwahiyo umetufungulia milango halafu wewe ukaenda kulala?[emoji848]nafungua milango
Hiyo tabia yako ya kukaa kwa michepuko mpaka mida hiyo sio nzuri[emoji57]3:48
bado nipo nakuchora tuKwahiyo umetufungulia milango halafu wewe ukaenda kulala?[emoji848]
kwako Aibu nitatoa hakyamamaUnanitafutia nini wewe mzee wa aibu?[emoji848]
Ukiona hivo jua hujitumi[emoji4] 6*6Hiyo tabia yako ya kukaa kwa michepuko mpaka mida hiyo sio nzuri[emoji57]
Nimesikia eti akina Mohamed wenye pesa huitwa MO na wasio nazo ndo akina Muddy.... Vipi kwa upande wako ni kweli unamapene?[emoji23]kwako Aibu nitatoa hakyamama
Ushaanza kutafuta michepuko ?Nimesikia eti akina Mohamed wenye pesa huitwa MO na wasio nazo ndo akina Muddy.... Vipi kwa upande wako ni kweli unamapene?[emoji23]
bado nipo nakuchora tu
Nitajitumaje kwa ka zao ambako nikikohoa tu kanapoteaUkiona hivo jua hujitumi[emoji4] 6*6
Huo utakuwa usiku wa masabaUsiku wa manane kasoro sa moja na dk 40
Mtaje nikuitieKuna mtu angekuepo Hapa nisingelala..
Akinithibitishia kwamba anazo wala sintajiuliza mara mbilimbiliUshaanza kutafuta michepuko ?
Mbona jay mo hana hela
Leo mbu vipi? Nije kukusaidia kuwafukuza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwako Aibu nitatoa hakyamama
Aaah kweli aisee, ongeza saa moja hapo...shida za kulala kitanda cha watu wawili mtu mmoja...inapunguza ufanisi wa ubongoHuo utakuwa usiku wa masaba
[emoji23][emoji23][emoji23]mwenzio kenda wapi?Aaah kweli aisee, ongeza saa moja hapo...shida za kulala kitanda cha watu wawili mtu mmoja...inapunguza ufanisi wa ubongo
Hahaha, ataona wivu.. Tumsamehe kwa leoMtaje nikuitie
Utanikumbuka nakwambiaAkinithibitishia kwamba anazo wala sintajiuliza mara mbilimbili
Anaangalia tamthilia[emoji23][emoji23][emoji23]mwenzio kenda wapi?