Wewe ni mke au mme? Tuanzie hapoAnaangalia tamthilia
Hamna lolote na bila vumbi nyie mbona mngeadhirika sanaUtanikumbuka nakwambia
Sie wacongo tunajua ku care
Nitajitumaje kwa ka zao ambako nikikohoa tu kanapotea
wife mimi nina kibamia ?Hau mimi sihusiki kwenye hiyo list ?Wewe wasema!![]()
mo na pesa ni uji na mgonjwaNimesikia eti akina Mohamed wenye pesa huitwa MO na wasio nazo ndo akina Muddy.... Vipi kwa upande wako ni kweli unamapene?![]()
Ndo umeamua kukumbatia mto ulale? Bora ujifariji hapa maana mkeo atamaliza kuangalia tamthiliya saa 10Mme wa mtu.
Usiku mwema😎😎
Mi nilizaliwa naloHamna lolote na bila vumbi nyie mbona mngeadhirika sana


Nimeghairi...utanisumbua bure maana kama unapesa lakini mbu wanakuzidi maarifa utaniweza mimi?mo na pesa ni uji na mgonjwa
njoo tutumie tu


unazingua sana unazingua nakwambiaLeo mbu vipi? Nije kukusaidia kuwafukuza?![]()
Weee usinizibie rizki mi mwenzio ni bikira kama Wema SepetuMi nilizaliwa nalo
Ndio maana kila ukiniacha unarudi
Japo PM kule umenipa talaka
Natamani umeme ukatike hapaNdo umeamua kukumbatia mto ulale? Bora ujifariji hapa maana mkeo atamaliza kuangalia tamthiliya saa 10
kweli mbu ni kipimo cha Mimi kukataliwaNimeghairi...utanisumbua bure maana kama unapesa lakini mbu wanakuzidi maarifa utaniweza mimi?![]()
Huna lolote nakujua wewe huji kutusabahi mpaka mbu wakukumbusheunazingua sana unazingua nakwambia
hapa nimekuja kwa ajili yako
Natamani umeme ukatike hapa
Haya, bye!Kazime kwenye main switch
Aibu yako hiyo!kweli mbu ni kipimo cha Mimi kukataliwa
jamani hili gundu la kiwango cha lami


Ukifanikiwa kumkumbatia msalimieHaya, bye!