Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Good morning!
0000
0000
Bora urudigiPopo Bundi na wote karibu Gate limefunguliwa
Mambo mke ya mwanyasMbona mnakazana kuchochea kuni mbichi?![]()
Heeee! Nitakuuaje mimi sina bunduki wala runguUtaniua mama nakukimbia japo kishingo upande😀😀😀
Umeona eeeh!Bora urudigi
Hata hapa nimejitahidi kweli kweli ili nikupe hata salamu kupitia hapa kijiweni mama. Nitarudi kikamilifu hivi karibuni shem kipenzi changuUnaenda wapi jamani, mbona mnanitenga sana siku hizi?Nimebaki mkiwa hapa sina hata wa kunitetea kama zamani
![]()
Shiiiiiiiih! Taratibu usinizibie rizki hapaMambo mke ya mwanyas
Unanijua vizuri udhaifu wangu tafadhari niruhusu niende bibieHeeee! Nitakuuaje mimi sina bunduki wala rungu
Good morningGood morning!
Tushatia timu usihofu mkuu, kwema?Popo Bundi na wote karibu Gate limefunguliwa
Heri nimekuona nikuachie kijitiBora urudigi
Hata hapa nimejitahidi kweli kweli ili nikupe hata salamu kupitia hapa kijiweni mama. Nitarudi kikamilifu hivi karibuni shem kipenzi changu
Nakutakia mafanikio huko uendako naomba umsalimie kipenzi chako jje's na shemeji yako Nleterewa Nganengo bila kumsahau jirani yako Neybright na kipenzi chake Iceman 3DUnanijua vizuri udhaifu wangu tafadhari niruhusu niende bibie
Karibu kijiweniGood morning
Pamoja sana mkuu, mpaka chwee mpaka lyambaKwema Kabisa Boss.
Pamoja mkuu
Zimefika ByeNakutakia mafanikio huko uendako naomba umsalimie kipenzi chako jje's na shemeji yako Nleterewa Nganengo bila kumsahau jirani yako Neybright na kipenzi chake Iceman 3D
Asante mkuu, nshatimba, naomba kahawa kabisaKaribu kijiweni