Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,985
- 189,557
Nawaachia Lindo KiongoziPamoja sana mkuu, mpaka chwee mpaka lyamba
Nawaachia Lindo KiongoziPamoja sana mkuu, mpaka chwee mpaka lyamba
Nikupe gah'wa na kashata au tupu?Asante mkuu, nshatimba, naomba kahawa kabisa
Ndo umeamka kukojoa?Laleni mnatupigia kelele
Gahawa na kashata itapendeza tafadhaliNikupe gah'wa na kashata au tupu?
Hahahaha najiandaa kwenda kazini, ndo mida hiiNdo umeamka kukojoa?
Vipi mbona mapema yakhe?Nawaachia Lindo Kiongozi
Umepata bossGahawa na kashata itapendeza tafadhali
Nchi gani hiyo?Hahahaha najiandaa kwenda kazini, ndo mida hii

Basi ngoja nikae kitako kwenye kigoda na rungu langu niliegeshe hahahaUmepata boss
Anawahi kupalilia ndoaVipi mbona mapema yakhe?
Tandale kwa tumboNchi gani hiyo?![]()
Sawa, hivi wewe ni timu gani vile?Basi ngoja nikae kitako kwenye kigoda na rungu langu niliegeshe hahaha
Timu ziko nyingi sana, niweke bayana nisije kidandia tren kwa mbeleSawa, hivi wewe ni timu gani vile?
Kwa nchi hiyo ni mawili ama unajiandaa kwenda kupiga chabo au kupiga kabaliTandale kwa tumbo
We taja timu zako zote kisha mimi nitachambua nizitakazoTimu ziko nyingi sana, niweke bayana nisije kidandia tren kwa mbele