Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,414
Mkuu .kanisikitisha sana kesho nitamchana liveHata mimi nimeshangaa sana. Bahati nzuri nimekuta keshakimbia otherwise ningemuuliza. Sina uhakika kama una mke hapo![]()
Nilishawaambia kitambo wabadili jina uzi uitwe usiku wa masita, wakataka kunipoteza. Hebu on sasa, saa tisa tu kimyaaaa!
Mkuu .kanisikitisha sana kesho nitamchana live
Kweli hapa sina mke,amenikana adharani mbele ya member wote
Mkuu hatufanyii sifa, ulinzi shirikishi unalinda mpaka pale unapoona inafaa kumpa zamu mwenziyo.
Huu ni muda wako.
Yeah.ndio maana saa saba tu watu wanakua wamekimbiaNow I know Bro,
Lugha gani hii mkuu? SikupatiSHIMBA YA BUYENZE mwajengire buraza. Naliza kushindikija wuzumale
Yawezekana ikawa ni yeye aisee...Huyu kafanana sana na demu wangu wa Primary aisee,
Nini kinalindwa hapa.?