JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Na wewe mtengenezee list, akiamka ahangaike nayo.
Mkuu .kanisikitisha sana kesho nitamchana live

Kweli hapa sina mke,amenikana adharani mbele ya member wote
Au ndio inaweza kuwa waume wenyewe wa kwelikwelii ndio maana privacy imezingatiwa.
Kuna mawili: Ama nyie ndiyo (potential) waume au mmesahaulika [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata mimi nimeshangaa sana. Bahati nzuri nimekuta keshakimbia otherwise ningemuuliza. Sina uhakika kama una mke hapo [emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona mnakazana kuchochea kuni mbichi?[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom