Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Morning chief!Good morning
Morning chief!Good morning
Ngoja tu nirudi zagu najua sitakuta kitu hapo[emoji134][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] umejuaje
Njoo tu mana huu ugali ni mgumu sana tonge 7 ukiinuka basi we mwanaume wa shoka so wewe njoo tu usirudNgoja tu nirudi zagu najua sitakuta kitu hapo[emoji134]
Ndo nini?Copa Cabana mtwara (Gas city)
Mmmh! Umeiva kweli huo? Usijenivurugia tumbo langu![emoji848]Njoo tu mana huu ugali ni mgumu sana tonge 7 ukiinuka basi we mwanaume wa shoka so wewe njoo tu usirud
Saa yako imepoteza majira chief
Mimi nimetekwa juzi juzi tu humu[emoji173].. Naomba sana mungu aniepushie machungu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe unaugulia na lipi?
wanaume wa mkoani hawalembi wakiingia jikoniMmmh! Umeiva kweli huo? Usijenivurugia tumbo langu![emoji848]
Bila shaka aliyekuteka hatakutelekeza pasipo kutimiza azma yakeMimi nimetekwa juzi juzi tu humu[emoji173].. Naomba sana mungu aniepushie machungu[emoji23][emoji23]
Ombi langu. Azma yake iwe ya milele [emoji2]Bila shaka aliyekuteka hatakutelekeza pasipo kutimiza azma yake
Kila la heri, ila usipuuze ushauri wa bure alioutoa mdau wa kuongeza mkeOmbi langu. Azma yake iwe ya milele [emoji2]
Mateka hana kibali cha kuamua hatma yake [emoji2] Lazima itolewe order kwanza ndio aitekelezeKila la heri, ila usipuuze ushauri wa bure alioutoa mdau wa kuongeza mke
Usijali ndugu.. ulinzi ume imarishwa [emoji23]Muniombee sana ndugu zangu kuna Nissan ilikua inanifuata kwa nyuma wakati naelekea home, sijui wanataka nini hawa au walikua wananilinda nifike salama?. shukrani ziende kwao