Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ukisikia uchochezi ndio huu!Eti gari limesajiliwa Msumbiji, limeingia Tz kupitia mpka wa Kenya,
Dereva ni Mnigeria anaeitwa Obasanjo,
Lugha iliyokuwa inazungumzwa ni kilugha cha kusini mwa Afrika,
afu watekaji ni wazungu!
View attachment 905475


