Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Aliwazalo mpumbavu ndilo limtokealo. Take care kamanda!Why me?
Why always me??
I'm nothing and useless person..
Aliwazalo mpumbavu ndilo limtokealo. Take care kamanda!Why me?
Why always me??
I'm nothing and useless person..
Ukiivisha niite nije tule woteMi ndo natengeneza ugari wa dona na dagaa
Nahisi itakua kati ya 18-40umri upi huo?

Kwema, za wewe?Kwema wadau
Fumba macho wanga wasikuoneNiko macho mida ya wanga!
kalibu nishautenga mezaniUkiivisha niite nije tule wote
Umenikumbusha mbali sana na hilo neno 'black market'The first time I heard of "Black market" I thought it's where only black people shop
Andaa maji ya kunawa nakujakalibu nishautenga mezani
Nahisi itakua kati ya 18-40![]()


huyo jamaa sijui mkewe kamvuruga na nini?
Umenikumbusha mbali sana na hilo neno 'black market'
usichelewe mana wanaume kutoka mkoani hawataki mchezo linapofika swala la maakuliAndaa maji ya kunawa nakuja
Ndoa zina changamto nyingi. Kila mtu ana ugulia na lakwakehuyo jamaa sijui mkewe kamvuruga na nini?
![]()

Sichelewi, umeandaa na ka pilipili kabisa?usichelewe mana wanaume kutoka mkoani hawataki mchezo linapofika swala la maakuli
Nilikofanyia hizo black dealsWapi huko unakumbuka,
pilipili ipo mkuu nimeandaa, sasa kama hutaki mi ndo nalianzisha hivoo tusilaumianeSichelewi, umeandaa na ka pilipili kabisa?
Na wanaume wa mikoani mnavyomega matonge makubwa nitakuta kitu hapo kweli?pilipili ipo mkuu nimeandaa, sasa kama hutaki mi ndo nalianzisha hivoo tusilaumiane


Ndoa zina changamto nyingi. Kila mtu ana ugulia na lakwake![]()


wewe unaugulia na lipi?Na wanaume wa mikoani mnavyomega matonge makubwa nitakuta kitu hapo kweli?![]()
umejuaje