Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Leo lindo limedorora....
Huyu ukimuangalia sana ngare zitapanda halafu utakufa, mi ngoja nikabidhi lindo
Wengi walio hivi kichwani mbumbu hata mipango yao inakuwa si matumizi..Mda mwengine bora vimacho vidogo japo sifa ziwaendee Miss Bantu wote ususani Africa..
ngoja m nichek deadpoolNdo namaliza kuongea na shemegy enu mapenzi mubashara[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji39]
BabeeeNawaona mko busy na lindo
Dioniz NWapi
Yna2
Bbade
Diiniz N
Shimba ya buyenze mzee wa miss bntuz
Don çlericuzio
[emoji23][emoji23][emoji23] umri upi huo?Kuna umri ambao kung'ang'ana na mke mmoja ni kudumaza akili