Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,415
Ewaaa ngoja niichukue hii kuwa avayar yangu ili niwarushe roho wanaume wakware
Kwema kabisa za huko huliko?Kwema Astelia?
Mi poa. Za kupotea?Kwema
Za kwako
Saaana haichuji siku zote hizi nyimbo zitaendelea kuishi vizazi na vizaziHii miziki haitakaa ijirudie katika dunia hii. Walikuwa wanatulia kutunga na kuimba
Hebu kaa kidogo hata kilinge kipate baraka zako bibie.Kwema humu??
Nawatakia lindo jema
Ahsante sana pole na wewePole na usiku huu
Sijapotea nipoMi poa. Za kupotea?
Hiyo avatar hiyo. Una mpango wa kuibadilisha soon?
Jana/juzi kuna mtu alisema eti mnafanana fanana...Ewaaa ngoja niichukue hii kuwa avayar yangu ili niwarushe roho wanaume wakware
Mambo...07:46..Tulikuwepo,
Njoo zamu yetu mi na weweKwema humu??
Nawatakia lindo jema
Hii ngoja nisave hayo maua nimeyapenda sana, hakika ntayatafuta.
Kwa heshima yako mkuuHebu kaa kidogo hata kilinge kipate baraka zako bibie.
Asante...Sijapotea nipo
Haibadilishwi..hiyo ni forever



Zamu ya lindo?Njoo zamu yetu mi na wewe
Sawa Lusifa sitatoa tena siri zako
Ya niniAhsante sana pole na wewe
Unaheshima weyeKwa heshima yako mkuu
Nakaa kidogo
Afadhali nimepata mtu wa kunitoa tongotongo (nitafsirie basi na mimi nipate cha kuchangia).
Jamaa anasema hivi;Thad tutafsilie basi me mwenyewe nimepaotea hapo tu