Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,415
Kukesha raha tena km una mwenza unasubiria cha asubuhi unawahi job km upo kwa starehe ndo mida mizuri hii....Pole ya kukesha
Majukumu yangu nayatimiza mchana, usiku nakeshaThad mwenyewe si ajabu keshajiondokea kwenda kutimiza majukumu ya usiku.
Nilishaisevu zamani. Nina copy zaidi ya sita ohooo![]()
![]()
![]()
Isave mapema mzee kabla haijaondolewa.



Jamaa anasema hivi;
Ole wao wageuzao usiku kuwa mchana,
Ole wao walevi na wavuta bangi,
Ole wao wazinzi na wauaji,
Ole wao waongo na wazandiki
Kiitikio: Watakiona cha moto,
watakipata cha mtema kuni x2
Thad namuamini ni kweli hiyo tafsiri yakeHiyo ni tafsiri ya kweli au ni kamba tu za mfasiri?

Hilo jina nimelipendaKwanini sasa?
Baada ya kusoma ulichoandika ..sina budi kulala
Sitaki kupata cha mtema kuni mie

Unakwenda wapi tena?Naliacha lindo muda si mrefu naomba usichelewe
Ila avatar yako inatukosha wengi huo mzigo ukipishana nao unauchk mpkSifa apewe Muumba kwa uumbaji wake

Kabisaa heshima yake imejidhihirishia waziSana, angekua mke wangu kila mwisho wa mwezi ningekua naenda kumlipia mahari upya.
Upendo utawale siku zote humu ndani

Naenda kuangalia lango la upande wa pili kama liko waziUnakwenda wapi tena?
Lindo litaboa balaa
Oh! Hayo ndo madhara ya kufunuafunua hatimae umefunue yasiyokuhusu. Usindoke bwana SHIMBA YA BUYENZE na Nleterewa Nganengo hawatanielewaBaada ya kusoma ulichoandika ..sina budi kulala
Sitaki kupata cha mtema kuni mie