Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,415
Juhidi zako humu zinaonekana kwa kweliEeeh mimi ndio katibu mwenezi![]()
Mchina mixer na mkorea
Japo Lusifa na Mungu wana uhasama mkubwa ila kuna siri huwa wanatunzianaUmeanza lini kupaka mafuta ya mgando? Wewe si unapakaga mafuta ya kula tena siku ya sikukuu tu?![]()

Kwema Astelia?Kuna mtu anatusema humu kila mara kuwa hatulali ...tupo kazini wenzio ulinzi kazi
Afadhali nimepata mtu wa kunitoa tongotongo (nitafsirie basi na mimi nipate cha kuchangia).There is no excuse my friend
For breaking my heart again
This is were our journey ends
Your breaking my heart again
Thad wimbo mzuri nimeupenda
Hakuna mgunduzi au tajiri mkubwa duniani ambaye hakutumia/hatumii huu mmea, wewe hujiulizi kwanini Canada, na U.S.A wameamua kuhalalisha huo mmea.
Kuna siri kubwa sana iliyofichwa ndani ya huo mmea.
Bangi na iheshimiwe na watu wote
(Bangi siachi)
Japo Lusifa na Mungu wana uhasama mkubwa ila kuna siri huwa wanatunziana![]()
![]()


Sawa Lusifa sitatoa tena siri zakoThad tutafsilie basi me mwenyewe nimepaotea hapo tuAfadhali nimepata mtu wa kunitoa tongotongo (nitafsirie basi na mimi nipate cha kuchangia).