hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,622
- 74,008
Hahaa ... kwema Mkuu ''Daah,naweza nikawa nakesha PM ila ndip hivyo tena bila bila.
Hahaa ... kwema Mkuu ''Daah,naweza nikawa nakesha PM ila ndip hivyo tena bila bila.
Hahaa "...Kumekucha!!!View attachment 899359
Lindo limepwaya
Kachura



Kuna RPC mmoja huko zenji alipiga marufuku wanaume kuwapigia miluzi wadada wenye misambwanda.Unaongea kwa codes mkuu. Niko out of the loop. Sikupati.
Mimi hizo size nakaa nazo mbali mkuu
Pambana tu mkuuAstelia lovie
Yuko sahihi, hataki watu uwashtue ili hali ....Kuna RPC mmoja huko zenji alipiga marufuku wanaume kuwapigia miluzi wadada wenye misambwanda.
Walinzi tupo,ila wawindaji ndio hawapoAisee leo humu hakuna watu
Ya familia ya Mo kuahidi kutoa 1billion ?Nashukuru yametimia
Niliyo yatabiri
Kwa nini?Mimi hizo size nakaa nazo mbali mkuu