Kanyamulano
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 905
- 875
Inanipasa terstrogen homen itake placeYa kwamba?
Inanipasa terstrogen homen itake placeYa kwamba?
sawa na simba mwenda pole ndiye mwenye ni dhamu ya mawindo "... kwa mwendo huo lazima Nyati/punda milia aliwe tuBro kwema aisee. Nawinda huku lazima niwe mpole hamna namna....
Hahaa yaani kama sio wewe vile unaye tuporomosheaga mijineno kule JI ... haya bwana kwa heshima na taadhima wacha nifuate rai yako "...
kwema lakini !!?
Ahsante Bro, Nimefurahi kukutana na wewe hapa.Resting is weapon. Usiku mwema Chief.
Jamani jamaniUtakuja lini tupelekane znz?

Hujapata kitabu cha kukusahaulisha kula na kulala....
Nakumbuka kuacha kusoma kwa ajili ya mtihani kisa namalizia novel...
alaa kumbe zenji "... itabidi uniambie kwanza ratiba yako wewe iko vipi " then nitazame na ya kwangu ".. kisha tufikie kwenye lengoUtakuja lini tupelekane znz?
sawa na simba mwenda pole ndiye mwenye ni dhamu ya mawindo "... kwa mwendo huo lazima Nyati/punda milia aliwe tu
Amejibu vizur tuAkijibu, nipe mrejesho
James Hardley Chase novel zake ni shida, very unpredictable, na unataka kulala umemaliza. Hata ukifunua page za mwisho ujue hitimisho unaona mauza uza tu.
Hapana Don. Nilikuwa ninakuhakikishia usalama. Kwamba hakuna siri itakayovuja. Pole Chief
Hahaa Mkuu siumesema nikusitiri kwa heshima na taadhima ".. Au yalikuwa ni macho yangu tu sijui kuisoma !!!?Wewe leo naona una mtoto mzuri bbade mimi naendelea kujifunza aisee kutoka kwako mpaka mtoto anataka muende Zenji hatari.
Hapa kuna la kujifunza aiseee...
Hapo na bado hujaota umo ndani ya story...
Kuna watu wanavipaji kwenye Uandishi
Hahaa ina maana unawakana !!! wanayaona matamshi yako hapa " ngojea waje kukuwashia moto pm "... utakuja kulazwa mzungu wa nne mkuu ..shauri yakoIla cha ajabu tangu April mwaka huu mpaka 00:53 usiku kwa saa za Afrika mashariki na kati,sijaopoa hata mmoja. Bila shaka mimi nitakuwa Simba kipofu tena KIBOGOYO na kucha zimekatwa.
Inauma sanaa.
alaa kumbe zenji "... itabidi uniambie kwanza ratiba yako wewe iko vipi " then nitazame na ya kwangu ".. kisha tufikie kwenye lengo
Hahaa Mkuu siumesema nikusitiri kwa heshima na taadhima ".. Au yalikuwa ni macho yangu tu sijui kuisoma !!!?
hahaa daahh umeshaanza matata
Hahaa ina maana unawakana !!! wanayaona matamshi yako hapa " ngojea waje kukuwashia moto pm "... utakuja kulazwa mzungu wa nne mkuu ..shauri yako
Asante. Wabaya watuAmejibu vizur tu