fizo talent
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 2,256
- 3,889
01:08
DuhUmechelewa....
Duh
My loss
Jaman wanaoondoka wawe wanaaga basi ili lindo lao lichukuliwe na mtu mwingine
...Umetambua hilo?
Maana nahisi wengi wamezamia PM
Wengine tunaingia kazinUmetambua hilo?
Maana nahisi wengi wamezamia PM
SureWengine tunaingia kazin
Mida ya wakubwa watoto
Washa lala
Kabisa, nashukuru kama nawewe umeligundua hiloUmetambua hilo?
Maana nahisi wengi wamezamia PM
Vp wewe unatwanga kotekoteUmetambua hilo?
Maana nahisi wengi wamezamia PM
Mida iyo nitakuwa naichekKuna shift ya saa tisa kuelekea kumi, itaingia muda ukifika.
Nipo sichaguiVp wewe unatwanga kotekote
Usiku mwema....wana usiku wa manane
Kwako pia, Mungu akakujaalie ulale na kuamka salama ili kesho tuwepo kijiweni
Atakuwa anatazama porn hukoShimba ya Bhuyenze yuko wapi