Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,742
- 21,870
Usirudie tena.
Mimi mzima wa afya hofu kwako....
Usirudie tena.
Mimi mzima wa afya hofu kwako....
We soma hiko me napewa kesho kingine nakisoma alafu tutasimulianaUtanisimulia basi rafiki.
Sawa ticha hicho itabidi nijitahid nisome
Twende kazi. Popo wamecharuka. Majira yamebadilika. Usiku umekuwa mfupi. Approaching Desemba.Daaah,hivi muda tayari kwani ?
Wewe vitabu vya audio vinakufaa zaidi kama ni hivyo.
Sure. Pia usiku umekuwa mfupi. Ikifika Saa kumi kumekuchwa.Inategemea na location ulipo Mku
Mwenye kitabu cha hadithi ya Mzee Mayuku,Ole chino na Obi ,KISIWA CHA KINTINTALE anipatie na mm wadau
Maamaaaa!Mimi sio kaka ako,kuna kitu unataka kuninyima nini ?
Nasema hivi tena kwa hasira na ghadhabu tele humu sina dada wa mdogo wa kikeee.....
Hahahaha, usiku ukiwa mzururaji ni mfupi mnoSure. Pia usiku umekuwa mfupi. Ikifika Saa kumi kumekuchwa.
Ipo warembo kama woteeVilla Park! Ile band bado ipo? Kamanyola!
Mwenye kitabu cha hadithi ya Mzee Mayuku,Ole chino na Obi ,KISIWA CHA KINTINTALE anipatie na mm wadau
Sawa kabisa hicho ndo kinanifaa ili nisichoke kukisoma..ntatafuta na hyo movie kabisaKina page si nyingi na kiko interesting, ukimaliza kuna movie yake walifanya kina Kevin Hart, Gabrielle Union na jamaa wengine.
Maudhui yake...itapendeza nikiwa nasikiliza.
Nimezoea kusoma Crime.
Nadhani 1989-92 ,sikumbuki vzrKimechapishwa mwaka Gani nikutafute kwemye archives zangu....
Kamchukue Thad ndo tukupokeeHodiii