Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,112
Bahati mbaya sana sijaona sehemu bali nimeona mrembo tu hapoMpenzi, wewe unapafahamu hapo?
Nina aleji na kinyantuzu jamani, mkiongea tu kinanilevya. Hata lucas mobutu analijua hilo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikinywa Shinyanga kikanitokea puani[emoji23]Uliwahi kukinywa wapi kikakulevya?
[emoji23][emoji23][emoji23] "Tongue skill" imenikunaHalafu baada ya hapo na pesa umpe. Wanaume tunaibiwa sana jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]View attachment 896128
Pole. Mwambie Dionize N akufundishe. Naamini atakuwa Mwalimu mzuri !!!Nilikinywa Shinyanga kikanitokea puani[emoji23]
Hakika umenielewa vyema, ila kumbuka imeandikwa "Usiape kwa chochote, ila ndio yako na iwe ndio na sio yako na iwe sio"Ndio maana nikaamua kutokuwa adui yako maana sikutaka nikupende katu.
Na nilishaapa kutokuudhiwa na wewe maana sina muda wa kukuombea
Shauri yako [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23] "Tongue skill" imenikuna
Haya ndio ndio, na siyo siyo[emoji57][emoji57]Hakika umenielewa vyema, ila kumbuka imeandikwa "Usiape kwa chochote, ila ndio yako na iwe ndio na sio yako na iwe sio"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu baada ya hapo na pesa umpe. Wanaume tunaibiwa sana jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]View attachment 896128
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikinywa Shinyanga kikanitokea puani[emoji23]
Ukikatisha hapo utatukanwa mpaka uombe poooo....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa sisi walokole wa level za kusonga ugali kwa kutumia msalaba, akifikia hali hii ghafla tunakatisha safari na kuanza maombi ya kukemea pepo.
Bahati mbaya sana sijaona sehemu bali nimeona mrembo tu hapo
Na maandiko yanasema "Naiwe hivyo".Haya ndio ndio, na siyo siyo[emoji57][emoji57]