Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Kitakuepukaje wakati umelikoroga mwenyewe na unatakiwa ulinyweWewe wasema, na ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke![]()


Kitakuepukaje wakati umelikoroga mwenyewe na unatakiwa ulinyweWewe wasema, na ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke![]()


Mi nimewahi kukuotaNajua tu maana sijawahi kuhisi huo utamu wanaoupata wanaootwa
Mkuu una vitabu unitumie ?
Fafanua mkuuMkuu una vitabu unitumie ?
Tofauti na vile nilivokutumiaga
Sio kila unachokoroga ni kwa ajili ya kunywa, vingine ni kwa ajili ya kupakwa.Kitakuepukaje wakati umelikoroga mwenyewe na unatakiwa ulinywe![]()
Basi sio mbaya, usipolinywa utajipaka mwili mzimaSio kila unachokoroga ni kwa ajili ya kunywa, vingine ni kwa ajili ya kupakwa.
Ugandaguna unkima wa lushiku lwenulo? Nonu?Karibu mkuu, nalenakubhikijaga nafadi yako nkhoi
Siku izi umekua ambulance?Wow!