Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,789
- 47,985
.
UsisahauSanaa!
Baharia vs mzamiaji
Iwe kwako piaAmani iwe nanyi...
Ninong'oneze unafikiria nini, ukikaribia ukweli nitakupa siri ya hii I'D yangu
Na zama zimebadilikaWatayafanya saa ngapi wakati saa sita watu wote tunatakiwa kuwa vitandani
Kusema na ukweli nimefundishwa kupenda ila niipende nafsi yangu kwanza.Basi mkuu twendelee na lindo.
Ila vipi ulisha wahi kumpenda mtu hadi ukajichukia wewe, kiasi kwamba unatamani akumeze ili uishi ndani yake? O. P

Ila watu wa Dar es salaam mmezidi uchoyo, yaani mnashindwa kuwapunguzia joto wenzenu wa Njombe, badala yake mmejirundikia joto lote hili peke yenu?![]()
Kweli kabisa ndio maana siku hizi sio kila homa ni malariaNa zama zimebadilika
Nikikaa kimya asidhani sijasikia
Mmeninukuu vibaya kama mlivyomnukuu vibaya mkuu wa mkoa juziNikikaa kimya asidhani sijasikia
Kuna Njombe?
Don, hivi muziki umeshazimwa hapo kwenu mbona si usikii tena? Basi lala si hamna makelele tenaBasi mkuu hayo ndo mambo yanayojitokeza tukiwa lindo na wewe haupo.



Aisee, akili zinataka kukimbia lakini naona mwili hautaki.Nleterewa Nganengo, inamaana hujui kama ninaumwa kwa kukuhamu? Mbona unapita kimyakimya hivyo?![]()
Umekuja na mshindo gani mkuu?Aisee, akili zinataka kukimbia lakini naona mwili hautaki.
Siku zote kimya kingi kina mshindo mkuu.
Basi mkuu hayo ndo mambo yanayojitokeza tukiwa lindo na wewe haupo.
Hivi umeshafika huko ukasikia baridi lake?Nimeona tu umeitaja
