Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,386
- 95,832
Tupo Mkuu ndio tushatawanyika ktk malindo ,hahahahaMkuu
Wasalimie hapo KK security
Tupo Mkuu ndio tushatawanyika ktk malindo ,hahahahaMkuu
Wasalimie hapo KK security
Huu sio, haya ni masita manane bado sanaHuu ndo wenyewe wa manane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo bwana nimeuliza swali moja nimejibiwa maswali lukuki!Bahati gani hy nayo ililia ? Wapi huko tulikua tunakumbushana ? Mm nikimbie mrembo wa JF? Duh OK inawezekana , ila sijutii chochote Mkuu
Ulinzi sometime hua unanichosha natamani kulala ila siweziTupo Mkuu ndio tushatawanyika ktk malindo ,hahahaha
Thx..hapa hua napita kwa nadra sana.Karibu chamani
Ulihisi mie mzungu mgeni?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo bwana nimeuliza swali moja nimejibiwa maswali lukuki!
Hivi unamaanisha unachokiongea au wataniaHuu sio, haya ni masita manane bado sana
Raia wa kigeni[emoji23][emoji23]Ulihisi mie mzungu mgeni?
Alaa kumbe?[emoji848] Tofauti yake ni nini?Bado tunaendelea kumtafuta. Lakini Thad wajua kuna tofauti ya bbc na BBC!
Namaanisha haswaaHivi unamaanisha unachokiongea au watania
Nani kachukua rungu langu hapa? Ndo naingia mzigoni
Unalalaje kazini?Ulinzi sometime hua unanichosha natamani kulala ila siwezi
Siku hizi hatutumii marungu huku, njoo uchukue gobole hapaNani kachukua rungu langu hapa? Ndo naingia mzigoni
Namaanisha haswaa
[emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua hivyo, ila sasa nishaona u mbongo mweusi kama mimi tuUlihisi mie mzungu mgeni?
Hahahaha, vzr km umejua hivyo ,Leo Mr wako yuko wapi?[emoji23][emoji23][emoji23] Nilijua hivyo, ila sasa nishaona u mbongo mweusi kama mimi tu