Good morning bbc, tunasubiria utuletee habari mpasukoGoodmorning!
Hivi nikwambie mara ngapi kuwa urudi nyumbani kumenoga?22:59,najiandaa kuingia job sasa
Ticha naona umenirithi humu sikuhz..unavuta cha wap kinakueka macho hvyoo
Sina wakunipokea wala kuniliwaza ,nije kufanya nn?Hivi nikwambie mara ngapi kuwa urudi nyumbani kumenoga?
Bado tunaendelea kumtafuta. Lakini Thad wajua kuna tofauti ya bbc na BBC!Good morning bbc, tunasubiria utuletee habari mpasuko
Mkuu22:59,najiandaa kuingia job sasa
Ulichezea bahati sasa waililia, hukujua kuwa bahati haiji mara mbili? Au unadhani juzi sikukuona na mabazazi wenzio mlivyokuwa mnakumbushana jinsi mlivyokuwa mnawakimbia warembo wa JFSina wakunipokea wala kuniliwaza ,nije kufanya nn?
Hv usiku wa manane tyr?
Hv usiku wa manane tyr?
Bado bado huu ni usiku wa masita
Bahati gani hy nayo ililia ? Wapi huko tulikua tunakumbushana ? Mm nikimbie mrembo wa JF? Duh OK inawezekana , ila sijutii chochote MkuuUlichezea bahati sasa waililia, hukujua kuwa bahati haiji mara mbili? Au unadhani juzi sikukuona na mabazazi wenzio mlivyokuwa mnakumbushana jinsi mlivyokuwa mnawakimbia warembo wa JF
Karibu chamaniHili ndio jukwaa la wakeshaji eeh!😛😀