Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
Mi mwenyewe nishapata mrembo wa kuniliwaza lindoni so acha wife nayeye apate burudani mimi hua cpendi mtu mchoyoHiyo ni hali ya hatari
Mi mwenyewe nishapata mrembo wa kuniliwaza lindoni so acha wife nayeye apate burudani mimi hua cpendi mtu mchoyoHiyo ni hali ya hatari
Mkuu dodoso Tafadhali. Nani tena huyoMi mwenyewe nishapata mrembo wa kuniliwaza lindoni so acha wife nayeye apate burudani mimi hua cpendi mtu mchoyo
tulia kwanzaMkuu dodoso Tafadhali. Nani tena huyo
Itifaki izingatiwetulia kwanza
Leo umeibuka? Maana ulikuwa unapitia chini ya maji. .....Bbade natambua uwepo wako
Leo nipo fullLeo umeibuka? Maana ulikuwa unapitia chini ya maji. .....
Upo freshLeo umeibuka? Maana ulikuwa unapitia chini ya maji. .....
Leo nipo full
Leo nipo full
Upo fresh
Humu leo kume pwaya kinoma.... Au muda bado waungwana ?
Leo ni kama CNNLeo naona wadau mko full masnondo.
Sio kila kilicho pwaya kinahitaji kujaziwa bibie,vingine kupwaya kwake ndio ukamilifu.........Njoo utujazie
Habari za siku mbili tatuFresh kabisa
Sio kila kilicho pwaya kinahitaji kujaziwa bibie,vingine kupwaya kwake ndio ukamilifu.........
Habari za siku mbili tatu
,namalizia ,ndio niingie lindo