Mpaka muda huu naona tetea uko peke yako,sijui itakuwaje leo humu......Oohhh. ....nashukuru umenijuza
Mpaka muda huu naona tetea uko peke yako,sijui itakuwaje leo humu......Oohhh. ....nashukuru umenijuza
Mpaka muda huu naona tetea uko peke yako,sijui itakuwaje leo humu......
![]()
,namalizia ,ndio niingie lindo
Na hivyo vyombo lazima usinzie![]()
,namalizia ,ndio niingie lindo
Ngoja tumwite thadMpaka muda huu naona tetea uko peke yako,sijui itakuwaje leo humu......
Tatizo tutatumia nguvu kubwa kukumiliki aisee,yaani gombania goli inaitwa nani atafunga haraka......mngekuwa wengi tungegawana majukumu.Ndio vizuri mbona. ....
bbade si ni mke ya mtu mkuu... Unavyopigwa mi simoTatizo tutatumia nguvu kubwa kukumiliki aisee,yaani gombania goli inaitwa nani atafunga haraka......mngekuwa wengi tungegawana majukumu.
Hatari sanaaaa
Tatizo tutatumia nguvu kubwa kukumiliki aisee,yaani gombania goli inaitwa nani atafunga haraka......mngekuwa wengi tungegawana majukumu.
Hatari sanaaaa
bbade si ni mke ya mtu mkuu... Unavyopigwa mi simo
Leo ni kama CNN
Thad bado anazuia WMD atakuja tuNgoja tumwite thad
Gombania goli haina watu hao aisee,huko ni vululu vululu tu....Mimi nitachagua nani wa free kick nani wa corner na nani wa penalty.
weeee eeeekazi kaziii iusiku wa mashetaniNdo niko njiani na chupa la kahawa naelekea lindo mwenzenu mimi hua silale katika kutafuta pesa acha my wife alale mimi nimtafutie
pumzika weweeeeeNapita tu hapa japo hii sio njia!
Mimi nitachagua nani wa free kick nani wa corner na nani wa penalty.
Ni kati ya nyimbo bora za marehemu Albert ngewairCNN - Ngwair ft Fid Q.
Siku aliyokufa Ngwair hii nyimbo ndo niliisikiliza mara nyingi zaidi, mpaka leo imebaki kichwani nikiona CNN basi lazima Ngwair ajitokeze kichwani.
mapopo badi tupoHumu leo kume pwaya kinoma.... Au muda bado waungwana ?
Gombania goli haina watu hao aisee,huko ni vululu vululu tu....
Ngoja tumsubiriThad bado anazuia WMD atakuja tu