Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,298
Miamia mkuu
Weraaaaaa niajeeeee wakuuuu
Weraaaaaa niajeeeee wakuuuu




Kama ulijua vile
Nawe pia.Mpumzike salama
3:54am3:52am
Wale wote wanaotumia nguvu ya soda wameshalala
Amesha lalaWewe mwenyewe umepokea lindo saa Tisa na nusu, ulikuwa wapi?
Mwache wife alale mwenyewe wakora wafanye yaoNdo niko njiani na chupa la kahawa naelekea lindo mwenzenu mimi hua silale katika kutafuta pesa acha my wife alale mimi nimtafutie
Hilo halipingiki, ukitaka wako tu kata mgomba uweke ndaniMwache wife alale mwenyewe wakora wafanye yao
Hiyo ni hali ya hatariHilo halipingiki, ukitaka wako tu kata mgomba uweke ndani