Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,111
Tafuta ile yenye infrared
Hapa Nina zana zote, sema binocular yangu hii haioni usiku.
Hapa Nina zana zote, sema binocular yangu hii haioni usiku.
Sasa unalala SAA ngapi? Ndo maana umeaga ila bado nakuona huku kumbe NDo muda wa mapaka kuingia shiftMna matatizo kama yangu, sema mimi yamezidi hayo ya paka. Vurugu za baa zikiisha paka wanaingia ulingoni, paka wakipumzika mbwa wanaanza shughuli yaani ni vurugu tupu
Mna matatizo kama yangu, sema mimi yamezidi hayo ya paka. Vurugu za baa zikiisha paka wanaingia ulingoni, paka wakipumzika mbwa wanaanza shughuli yaani ni vurugu tupu
Mna matatizo kama yangu, sema mimi yamezidi hayo ya paka. Vurugu za baa zikiisha paka wanaingia ulingoni, paka wakipumzika mbwa wanaanza shughuli yaani ni vurugu tupu
Nimecheka sana ila pole mwayaMna matatizo kama yangu, sema mimi yamezidi hayo ya paka. Vurugu za baa zikiisha paka wanaingia ulingoni, paka wakipumzika mbwa wanaanza shughuli yaani ni vurugu tupu
Ni shida, msione watu tunakesha humu mkadhani tunapenda, mazingira si rafikiSasa unalala SAA ngapi? Ndo maana umeaga ila bado nakuona huku kumbe NDo muda wa mapaka kuingia shift

Asante. Usicheke best, nionee hurumaNimecheka sana ila pole mwaya
Hapana...
Hahahahahaaa.. Pole mama. Sauti ya paka inavyokera sasaNi shida, msione watu tunakesha humu mkadhani tunapenda, mazingira si rafiki![]()
Naingoja kwa hamu hiyo siku ya kuhamia kwakoSoon utahamia huku, japo siyo uzunguni, lakini utulivu na nidham


Ni shida, msione watu tunakesha humu mkadhani tunapenda, mazingira si rafiki![]()
Hahahahahaaa.. Pole mama. Sauti ya paka inavyokera sasa
Muziki wa baa unaanza saa 1 mpaka 6. Nitalala mapema ipi? Ni shida tupuInabidi uwe unalala mapema, ili hayo yanakuta ushasinzia zako.
Muziki wa baa unaanza saa 1 mpaka 6. Nitalala mapema ipi? Ni shida tupu
Yaani mapaka ya mtaa huu yamenifanya nichukie paka japo nilikuwa mpenzi wa paka. Hao mbwa na hivi siwapendi toka zamani ndo kabisaHahahahahaaa.. Pole mama. Sauti ya paka inavyokera sasa
ObrigadoKaribu
Hivi unamfahamu @ynnah?