Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Ukiitamani nitakushangaa, siku zote ulikuwa nayo na hukuitamani uje uitamani leo?Naogopa kutamani Mali ya MTU mwingine
Ukiitamani nitakushangaa, siku zote ulikuwa nayo na hukuitamani uje uitamani leo?Naogopa kutamani Mali ya MTU mwingine
Kwa hasira nasepa sababu siwezi kuvumilia haya ninayo yaona sasa.......Pole, kuumia ni sehemu ya maisha hata mimi niliumia sana kabla ya kumpata huyu
Vipi jamani, unaona gere au unaogopa kutamani mali ya mtu mwingine?
Reporting![]()
Naogopa kutamani Mali ya MTU mwingine
Siwezi hata siku moja ,mm ni mlinzi nitabaki kuwa mlinzi, sitotamani chochote kile humu ,kuwa na AmanUkiitamani nitakushangaa, siku zote ulikuwa nayo na hukuitamani uje uitamani leo?
Ndo unaenda kumtafuta mzigua?Kwa hasira nasepa sababu siwezi kuvumilia haya ninayo yaona sasa.......
Nitarudi kusoma kilicho jiri......
Siwezi hata siku moja ,mm ni mlinzi nitabaki kuwa mlinzi, sitotamani chochote kile humu ,kuwa na Aman
Hapana yule ameshanikataa,namsubiri huku huku akirudi,uni tag.....Au kuna tatizo ?Ndo unaenda kumtafuta mzigua?
HahahahaNaona hajiamini.
Hivi leo siku gani!
Ondoa shakaHapana yule ameshanikataa,namsubiri huku huku akirudi,uni tag.....Au kuna tatizo ?
Siwezi hata siku moja ,mm ni mlinzi nitabaki kuwa mlinzi, sitotamani chochote kile humu ,kuwa na Aman
Unalikomoa jukwaa hili?Kwa hasira nasepa sababu siwezi kuvumilia haya ninayo yaona sasa.......
Nitarudi kusoma kilicho jiri......
Kuwa na Aman kijana, najua uko vzr Sana ktk 'idara' hii ,ila huko mm sikoHapo ruksa afande!
Leo Alhamis kipenzi!
AsanteeeKaribu

Kuwa na Aman kijana, najua uko vzr Sana ktk 'idara' hii ,ila huko mm siko