Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Hakuna nyimbo siijui kwakweli! Kila siku lazima wanipigie wimbo wa amerudi analia hahahaaaa
Hahaha, kuna nyimbo zimepigwa kama Kwangaru, mpaka nikauchukia, halafu wanaurudia rudia.
Hakuna nyimbo siijui kwakweli! Kila siku lazima wanipigie wimbo wa amerudi analia hahahaaaa
Itakua huo wimbo uliombaga special request


Usinivunje mbavu zangu mie, kila ukipigwa lazima niikumbuke jfHakuna nyimbo siijui kwakweli! Kila siku lazima wanipigie wimbo wa amerudi analia hahahaaaa
Dah! Pamoja na purukushani zao ila siwezi kuwawekea sumu bado ninawapenda tu hivyi hivyo.Kuna lipaka mtaani kwetu ukimvizia umuue kwa kuweka sumu chakula chake ananusa kwanza..then anakiacha kama kilivyo
Hata Mimi nikiusikia nakukumbukaUsinivunje mbavu zangu mie, kila ukipigwa lazima niikumbuke jf
Nimeona bandiko nikataka nisiseme lolote kuhusu wimbo wa Bellah!
Upumzishe kwa muda! Kila kitu hutokea kwasababu ilipangwa hivo! So forget it for a moment!
Kwakweli nyimbo zingine unazisikia mpaka zinachuja masikioni na hutamani tena kuzisikia ila ndo basi tuHahaha, kuna nyimbo zimepigwa kama Kwangaru, mpaka nikauchukia, halafu wanaurudia rudia.
Usinivunje mbavu zangu mie, kila ukipigwa lazima niikumbuke jf
Wewe ni yupi hapo, wa T-shirt au shati?
Thanks love!
Kabisa!Kumbe heading hukuhangaika kuipata, ilikuwa fasta tu.
Dah!
Akikujibu nitagNini mbaya aisee?
Akikujibu nitag
Nini mbaya aisee?
Akikujibu nitag
Hapa kuna dalili ya lindo kupungua wafanyakazi.