Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Mmmh! Sio kwa paka wa mtaa huu, ukianza kuomba unasikia msonyo wa binadamu dirishani.Dawa ya paka ni maombi, ukishika biblia ukasali hasa paka anaondoka zake.
Mmmh! Sio kwa paka wa mtaa huu, ukianza kuomba unasikia msonyo wa binadamu dirishani.Dawa ya paka ni maombi, ukishika biblia ukasali hasa paka anaondoka zake.
Yanakua yashashiba hapo yanasubiri kesho tenaKaribu kwetu huku uswazi but muda wakulala ukifika na mapaka yanalala
Kumbe eeeh. Nakumbuka Kwa babu yangu yalikuaga yakianza kulia na usingizi wangu unakomea hapoDawa ya paka ni maombi, ukishika biblia ukasali hasa paka anaondoka zake.
Pole mama. Mimi mbwa napenda ila paka hapanaYaani mapaka ya mtaa huu yamenifanya nichukie paka japo nilikuwa mpenzi wa paka. Hao mbwa na hivi siwapendi toka zamani ndo kabisa
Hakuna nyimbo siijui kwakweli! Kila siku lazima wanipigie wimbo wa amerudi analia hahahaaaaNoma hiyo, hapo nyimbo zote za wasafi lazima uzijue.
Noma hiyo, hapo nyimbo zote za wasafi lazima uzijue.
Kwa mtindo huo lazima ukariri playlist za hapo groceryHakuna nyimbo siijui kwakweli! Kila siku lazima wanipigie wimbo wa amerudi analia hahahaaaa
Mmmh! Sio kwa paka wa mtaa huu, ukianza kuomba unasikia msonyo wa binadamu dirishani.
Mmmh! Sio kwa paka wa mtaa huu, ukianza kuomba unasikia msonyo wa binadamu dirishani.
Kumbe eeeh. Nakumbuka Kwa babu yangu yalikuaga yakianza kulia na usingizi wangu unakomea hapo
Pole mama. Mimi mbwa napenda ila paka hapana
KwakweliMisonyo isikukatishe tamaa!
Endelea kufunguka kwa Mungu, yatakimbia!
HiPopooooooozzzzz
Mmmh! Sio kwa paka wa mtaa huu, ukianza kuomba unasikia msonyo wa binadamu dirishani.
Itakua huo wimbo uliombaga special requestHakuna nyimbo siijui kwakweli! Kila siku lazima wanipigie wimbo wa amerudi analia hahahaaaa
Misonyo isikukatishe tamaa!
Endelea kufunguka kwa Mungu, yatakimbia!