JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hapa kwangu ni sauti za walevi tu, kuna grocery jirani leo wamevusha muda.

Shida sana.
Nakumbuka enzi nimehamia hapa napokaa hii bar ya jirani walikua wanasumbua jamani. Bora walivyoambiwaga Mwisho SAA Tano Nikaanza kulala vizuri sasa.
Mna matatizo kama yangu, sema mimi yamezidi hayo ya paka. Vurugu za baa zikiisha paka wanaingia ulingoni, paka wakipumzika mbwa wanaanza shughuli yaani ni vurugu tupu
 
Back
Top Bottom