Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,668
- 96,525
Mlinzi mwandamizi sina uhakika tatizoHaswaa nikichelewa lindoni nitawaomba msamaha kisha mambo yataisha,au mtakataa ombi langu la msamaha ?
Mlinzi mwandamizi sina uhakika tatizoHaswaa nikichelewa lindoni nitawaomba msamaha kisha mambo yataisha,au mtakataa ombi langu la msamaha ?
Km vipi njoeni wote tuNgoja niombe ruksa kwa kipenzi changu, akiniruhusu naja
Mwanaume unabidii mpaka raha, sijaona mfano wako kwa kweliHalafu bidii yangu imesaidia sana!
Acha tujimwage kwakweli.
Tukutane Zambezi night club ,lkn mbn unawakimbia wenzio
Kwa ruhusa yako laaziz!
Daah,huu sio uungwana kabisa.Mwanaume unabidii mpaka raha, sijaona mfano wako kwa kweli
Mmesisahau kuwa niliwafadhili
Hatujasahau jamani, bado tunakuheshimu kama mhisani wetuMmesisahau kuwa niliwafadhili
Nini tena ZurriDaah,huu sio uungwana kabisa.
Kwa ruhusa yako laaziz!
Asee kwa style hii,endelea tu ,acha ni enjoy mwenyewe
Naumia.....Nini tena Zurri
Vipi jamani, unaona gere au unaogopa kutamani mali ya mtu mwingine?Asee kwa style hii,endelea tu ,acha ni enjoy mwenyewe
Naogopa kutamani Mali ya MTU mwingineVipi jamani, unaona gere au unaogopa kutamani mali ya mtu mwingine?
Pole, kuumia ni sehemu ya maisha hata mimi niliumia sana kabla ya kumpata huyuNaumia.....