Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,112
Hajui tulianzia PM tukaamua kuweka wazi
Kuna baya nimelifanya?[emoji23]
Kuna baya nimelifanya?[emoji23]
Wewe endelea kumpenda,ila najua unayajia maajabu ya moyo,si una jua moyo si kazi yake ku pump damu tu,yaani moyo ndio wewe mwenyewe.....Nampenda Sana yeye kuliko wenzake ambao hawana access na pm yangu
Kama nakuona vile.........Aaah! Basi asante
Leo ndio nimejua kaka mkubwa.... Acha niendelee kuwinda kwingine.Hajui tulianzia PM tukaamua kuweka wazi
Daah,kweli utu uzima dawa,niachie nafasi aisee.... Majibu utayakuta huku huku.....
Wee mwache tu, anadhani ilikuwa rahisi tu mpaka kufika hapa tulipoHajui tulianzia PM tukaamua kuweka wazi
Leo ndio nimejua kaka mkubwa.... Acha niendelee kuwinda kwingine.
Huu si ndio muda wa kuwindana au ?
Usikute abakutafuta useriver!
[emoji23][emoji23][emoji23] mnanivunja mbavu mwana wa mwenzenuAu Kolomije
Umeliona hilo,ila safari moja huanzisha nyingine acha tuendelee kupishana tu na wao wakimbie.....Ukiwinda wanakimbia,
Wewe tafuta tararibu.
Tukutane Zambezi night club ,lkn mbn unawakimbia wenzio
Wee mwache tu, anadhani ilikuwa rahisi tu mpaka kufika hapa tulipo
Unaachana na lindo unaingia windoniLeo ndio nimejua kaka mkubwa.... Acha niendelee kuwinda kwingine.
Huu si ndio muda wa kuwindana au ?
Wazee wa kazi pamoja sana
Mmesisahau kuwa niliwafadhiliHalafu bidii yangu imesaidia sana!
Acha tujimwage kwakweli.
[emoji23][emoji23][emoji23] mnanivunja mbavu mwana wa mwenzenu
Haswaa nikichelewa lindoni nitawaomba msamaha kisha mambo yataisha,au mtakataa ombi langu la msamaha ?Unaachana na lindo unaingia windoni
Umefika wakati muafakaWazee wa kazi pamoja sana
Ngoja niombe ruksa kwa kipenzi changu, akiniruhusu najaTukutane Zambezi night club ,lkn mbn unawakimbia wenzio