Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,453
Mkuu usije kuniangusha ujueNyagi kuchangamsha mwili tu,
Kazi ni ugalii wa dona, mtama na mboga za majani.
Mkuu usije kuniangusha ujueNyagi kuchangamsha mwili tu,
Kazi ni ugalii wa dona, mtama na mboga za majani.
Hahaha, umebadili gia angani
Mkuu usije kuniangusha ujue
Nishakumbuka,sasa nendeni PM nifanye ukaguziWewe msahaulifu ee?
Umesahau waliko kina "Mwa"nyasi?
02:30 ,hii lindo liendelee
Hahaha, muda wa kibabe huuUpo lusaka?
Huo muda huo
Hahaha, muda wa kibabe huu
HahahaNajiegesha mara moja
Jamani niliaga
![]()
kwa nini unalala peke yako?Kwanini mnalala peke yenu?
Da Leo tu. Siku Nyingine silali peke yangu.kwa nini unalala peke yako?