[emoji39][emoji39][emoji39]Anajitahidi,anaweza kunifikia
Akha.
Hapa nilipo imeumuka.
Kidole hakipiti maji naona kama yamewekwa pilipili.
Kabisaaa
Ndo hiki nilichotoka kunawa.
Keshapiga 7 mpaka sasa.
Nasubiri 3 vya alfajiri.
Bora ningebaki kwa wazazi wangu tu.
Hii ni adhabu tosha
Oooh yamekua hayoo[emoji39][emoji39][emoji39]
Utanitamanisha
Mwanaume wa Dar huyo ataviweza 10?[emoji23][emoji23][emoji23]Ondoa shaka,ushatafutiwa
Najua.
Nyagi hailalishi dushe
Sijui kwanini
Mie huko siko ,langu ni kuhakikisha mnakunywa,mnaenda na kurudiMwanaume wa Dar huyo ataviweza 10?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mie huko siko ,langu ni kuhakikisha mnakunywa,mnaenda na kurudi
Vzr ili tuendelee kudhamini zaidiSawa, nitawapa mrejesho[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaShukrani ila isiwe kwa hisani ya nyagi...maana naona ushaanza kuisifia[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume wa Dar huyo ataviweza 10?[emoji23][emoji23][emoji23]
Oooh! Basi sawaHuoni nazungumzia safari,
Niko mkoa tena ndanindani huku
Shukrani ila isiwe kwa hisani ya nyagi...maana naona ushaanza kuisifia[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha, umebadili gia anganiHuoni nazungumzia safari,
Niko mkoa tena ndanindani huku