Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Sawa
Mama kama tulivokubaliana PM, muda ule ule
Mama kama tulivokubaliana PM, muda ule ule
Shemela wako kalala hoi.Msalimie shem![]()
Sawa![]()
Hongereni sana ,kwa ushirikiano wenuNaaamini mnajua, ke lazima aweke madoido kidogo,
Msijali tumeshakubalina pm,
Hivo kesho kazi kazini
SwadaktaaaaaaNakuja bebyy nitaarishie muarabu wa kipemba
Mwamshe akupe cha usiku wa mananeShemela wako kalala hoi.
Mpaka alfajiri ndo anakurupuka tena

NdioHahaha
AsanteHongereni sana ,kwa ushirikiano wenu
Mie nitawahi kabla yako....si unajua lazima wale so lazima nilipe malipo mapema sana.
Washindwe wao tu
Ulale sasa kesho zamu yakoMwamshe akupe cha usiku wa manane![]()
Kichupa?
Hahahahahahhahah
Ndo hiki nilichotoka kunawa.Mwamshe akupe cha usiku wa manane![]()
Najua.Sana tu,
Si unajua nyagi zinavoamsha
Adhabu? Wenzio twavitamani hivyo!Ndo hiki nilichotoka kunawa.
Keshapiga 7 mpaka sasa.
Nasubiri 3 vya alfajiri.
Bora ningebaki kwa wazazi wangu tu.
Hii ni adhabu tosha

Anajitahidi,anaweza kunifikiaNdo hiki nilichotoka kunawa.
Keshapiga 7 mpaka sasa.
Nasubiri 3 vya alfajiri.
Bora ningebaki kwa wazazi wangu tu.
Hii ni adhabu tosha
Mwanamke maringo babu weeeeJamani mwanamke lazima aringe mbele za watu.
Ondoa shaka,ushatafutiwaAdhabu? Wenzio twavitamani hivyo!![]()
Sawa![]()
Akha.Adhabu? Wenzio twavitamani hivyo!![]()
Hongereni sana ,kwa ushirikiano wenu