Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Watu wamelala, kwaheri na mimi nalala zanguLindo lipo tupu!
Watu wamelala, kwaheri na mimi nalala zanguLindo lipo tupu!
Funga lindo mpaka kesho,,,Watu wamelala, kwaheri na mimi nalala zangu
Funga lindo mpaka kesho,,,
Sawa sawa,,,Ila asije na mipombe yake tuu na lindo kama halina mtu,Hapana tuache wazi ili kama kuna atayekuaja aingie tu
Hapana tuache wazi ili kama kuna atayekuaja aingie tu
Kukabidhiana muhim mkuu...usiliache waz nikabidh
Nimekukabidhi rasmi
! Sa sijui ndo pombe auUmenikumbusha enz za ujana kuna jamaa ang kila tukirud kutoka kiwanja ata kama ni saa tisa usiku lazima aingie jikon kutoa kitu! Sa sijui ndo pombe au

Tupo hapamko wapi?